Namba za TANESCO huduma kwa wateja KIGAMBONI

Namba za TANESCO huduma kwa wateja KIGAMBONI
Namba za TANESCO huduma kwa wateja KIGAMBONI

Namba za TANESCO huduma kwa wateja KIGAMBONI, TANESCO Huduma kwa Wateja KIGAMBONI, Tanesco huduma kwa wateja KIGAMBONI, Tanesco huduma kwa Wateja KIGAMBONI 2025

 

Namba za tanesco huduma kwa wateja KIGAMBONI

 

TANESCO Tanzania

TANESCO (Tanzania Electric Supply Company Limited) ni shirika la umma la Tanzania linalohusika na uzalishaji, usafirishaji, na usambazaji wa umeme nchini Tanzania. Shirika hili lilianzishwa mwaka 1964 na ni mali ya Serikali ya Tanzania. TANESCO ina jukumu la kusambaza umeme kwa wananchi wa Tanzania Bara na ina makao makuu huko Ubungo, Dar es Salaam. Kazi yake ni kuhakikisha upatikanaji wa umeme kwa usalama na kwa ubora unaohitajika kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii

 

Namba za TANESCO Huduma kwa wateja mkoa wa KIGAMBONI 2025

Umewahi kukutana na Changamoto kuhusu umeme ndani ya Nyumba yako au mtaa wako na ukawa hujui ni wapi unaweza ukaanzia kupata Huduma, Je wewe ni Mkazi wa Kigamboni na Hujui ni namba ipi unaweza ukapiga kama Unachangamoto kuhusu umeme na unaishi ndani ya Wilaya ya Kigamboni? Basi ni rahisi tu makala hii ya Ligikuu Forum itaangazia kuhusiana na Namba za Tanesco Kigamboni

 

Namba za Tanesco KIGAMBONI

0699069227

 

SOMA PIA

Kwa Maelezo zaidi tembelea https://www.tanesco.co.tz/