Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19/2/2025

Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19/2/2025
Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19/2/2025

Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19/2/2025, Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19 February 2025, Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19 Februari 2025, Kikosi cha Simba dhidi ya Namungo leo

 

Kikosi cha Simba vs Namungo leo 19/2/2025

Kusini mwa Tanzania katika ardhi ambayo inasifika kwa kutoa Korosho nzuri na bora ardhi ya Mkoa Lindi kutakuwa na mechi kati ya Namungo dhidi ya Simba , Mechi ikichezwa katika wilaya ya Ruangwa katika uwanja wa Majaliwa uwanja ambao unasifa ya kuchezwa mechi za usiku kutokana na uwanja huo kuwa na Taa unaoziwezesha kufanyika kwa mechi za Usiku.

Katika makala hii tunakuwekea Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo , Lakini kikosi kamili kitakuwa hapa kuanzia saa tisa kasoro kwa saa za Afrika Mashariki.

 

Kikosi cha Simba Kinachoweza Kuanza leo vs Namungo

 

  1. Moussa Camara
  2. Shomari Kapombe
  3. Mohammed Hussein
  4. Hamza
  5. Che Malone
  6. Yusuph Kagoma
  7. Ladack Chasambi
  8. Fabrice Ngoma
  9. Lionel Ateba
  10. Jean Charles Ahoua
  11. Elie Mpanzu

 

Soma Pia

  1. Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
  2. Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
  3. Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2025
  4. Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
  5. Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
  6. Matokeo Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
  7. Kikosi cha Yanga vs KenGold leo 5 February 2025