Wachezaji wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA ASSIST LIGI KUU TANZANIA 2024-2025
WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA ASSIST LIGI KUU TANZANIA 2024-2025

Wachezaji wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025, Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025, Wachezaji wanao ongoza kwa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania, Vinara wa Pasi za Mwisho Ligi kuu Tanzania Bara 2024/2025

WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA ASSIST LIGI KUU TANZANIA 2024-2025
WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA ASSIST LIGI KUU TANZANIA 2024-2025

Wachezaji wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

Ligi kuu Tanzania kwa msimu wa 2024-2025 ni ligi inayoshirikisha jumla ya timu 16 ambazo ni Yanga ambayo ni timu bingwa mara nyingi zaidi Tanzania, Simba Sc wanaofuata kwa kuwa mabingwa mara nyingi, Azam Fc , Singida Black Stars, Fountain Gate, Pamba Jiji, Ken Gold ,Tanzania Prisons, Mashujaa, Dodoma Jiji, Kagera Sugar, Tabora United, Coastal Union, JKT Tanzania , KMC na Namungo.

 

Wachezaji ukiachana na Kufunga magoli uwanjani moja kati ya Vitu ambavyo vimekuwa vikifatiliwa na wadau wengi ni pasi za Usaidizi yani Assist kwa Lugha ya Kiingereza. Wachezaji wengi wamekuwa wakichuana kutoa pasi za usaidizi Assist kwani ndizo pasi ambazo hupelekea magoli kufungwa uwanjani.

Wafuatao ni wachezaji wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

  1. Feisal Salum – Azam FC = 9.
  2. Salum Kihimbwa – Fountain Gate = 05.
  3. Jean Charles Ahoua – Simba SC = 5.
  4. Joseph Bada – Singida Black Stars = 04.
  5. Stephen Aziz Ki – Yanga SC = 4.
  6. Pacome Zouzoua – Yanga SC = 4.
  7. Ladack Chasambi – Simba SC = 3.
  8. Mohamed Hussein – Simba SC = 3.
  9. Ande Koffi – Singida Black Stars = 3.
  10. Yacoube Sogne – Tabora United = 03.
  11. Heritier Makambo – Tabora United = 03.
  12. Salehe Masoud – Pamba Jiji = 03.
  13. Ismaili Mgunda – Mashujaa FC = 03.
  14. Banele JR Sikhondze – Tabora United = 03
  15. Emmanuel Kwame Keyekeh – Singida Black – 03.

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025

Jedwali wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

Lifuatalo ni jedwali ambalo linaonyesha Jina la Mchezaji, Timu anayotoka na Idadi ya Assist ambazo mchezaji anazo katika msimamo wa Vinara wa Assist ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

NoMchezajiTimuAssists
1Feisal SalumAzam FC9
2Jean Charles AhouaSimba SC5
3Joseph BadaSingida Black Stars4
4Stephen Aziz KiYoung Africans4
5Pacome ZouzouaYoung Africans4
6Ladack ChasambiSimba SC3
7Mohamed HusseinSimba SC3
8Ande KoffiSingida Black Stars3
9Yacoube SogneTabora United3
10Heritier MakamboTabora United3
11Salehe MasoudPamba Jiji3
12Ismaili MgundaMashujaa FC3
13Banele JR SikhondzeTabora United3
14Emmanuel Kwame KeyekehSingida Black Stars3