Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12/1/2025

Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12/1/2025
Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12/1/2025

Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12/1/2025, Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12 January 2025, Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12 Januari 2025, Kikosi cha Simba vs Bravos leo, Kikosi cha Simba vs Bravos, Kikosi cha Simba vs Bravos leo January 12 2025, Kikosi cha Leo cha Simba vs Bravos, Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Bravos

 

Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12/1/2025

Kikosi cha Simba leo 12 January 2025 kinashuka dimbani kucheza mechi ya hatua ya Makundi kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Bravos kutoka Nchini Angola, Kuelekea mchezo huo LigikuuForum itaangazia juu ya Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Bravos leo 12/2025

 

Moussa Camara

Golini ni wazi Kocha Fadlu anaweza Kuanza na Kipa Moussa Camara ambaye amekuwa na kiwago bora msimu huu kwenye mashindano ya ndani na nje

Shomari Kapombe

Ni mchezaji aliyedumu Simba kwa muda mrefu sasa lakini pia amejitahidi kuwa na Mwendelezo mzuri wa kiuchezaji uwanjani , Mbavu ya KULIA ya mnyama ni wazi leo Shomari Kapombe ataanza kwenye Kikosi cha Simba vs Bravos leo 12/1/2025

Mohammed Hussein

Kwakuwa ni mechi ngumu na muhimu kwa Simba nadhani kocha anataji wachezaji kama Zimbwe kwenye Kikosi cha Simba vs Bravos leo, kwani anauzoefu mkubwa na mechi kama hizi.

 

Mabeki wa Kati

Upande wa Mabeki wa Kati Che Malone Fondo na Abdulrzack Hamza  bila shaka wataanza wao katika kikosi cha Simba leo 12/1/2025

Viungo wa Kati

Namba 6 Yusuph Kagoma kwa siku za karibuni ameonekana kuaminika zaidi katika kikosi cha Simba huku namba nane Fabrcice Ngoma anaweza kuanza

 

Kibu Denis na Elie Mpanzu

Upande wa mawinga ni wazi Kibu Denis na Elie Mpanzu wanaweza wakawa kwenye mpango wa kocha Fadlu Davis katika kikosi cha Simba vs Bravos leo

 

Ahoua na Ateba

Safu ya Ushambuliaji ya Simba bila shaka kwa leo itaongozwa na Nyota Lionel Ateba kama namba 9 na Ahoua kama namba 10 .

 

NB: Kikosi kamili cha Simba kitakuwepo hapa kuanzia saa 12 kamili Jioni

Kuelekea mchezo huo klabu ya Simba Imesafiri na kikosi cha wachezaji 21 pekee kwaajili ya kukabiliana na kikosi cha Bravos , Mechi hii inatarajiwa kuwa ngumu hasa kutokana na Timu zote  za Bravos na Simba kutafuta nafasi ya KUFUZU hatua ya Robo Fainali

Matokeo ya Bravos vs Simba leo 12 January 2025
Matokeo ya Bravos vs Simba leo 12/1/2025

Msimamo kundi la Bravos vs Simba 12 January 2025

Mpaka sasa kundi la Bravos vs Simba kuelekea 12/1/2025 klabu ya CS Constantine inaongoza ikiwa na Points 9, Simba pia iko nafasi ya pili lakini points sawa na Constantine points 9 tofauti ikiwa ni Goal Difference tu, Wakati huo Bravos wao wanapoints 6 na Kilaza wa kundi ni CS Sfaxien wao wanapoints 0.

 

 

Kikosi cha Simba Kilichosafiri kwenda Angola kuifuata Bravos

Magolikipa : Bravos vs Simba 12 January 2025

  • Moussa Camara
  • Hussein Abel
  • Ally Salim

Mabeki

  • Karaboue Chamou
  • Abdulrazak Hamza
  • Mohammed Hussein
  • Shomari Kapombe
  • Kelvin Kijili
  • Che Malone Fondo

Viungo

  • Mzamiru Yassin
  • Fabrice Ngoma
  • Yusuph Kagoma
  • Elie Mpanzu
  • Augustine Okejepha
  • Kibu Denis
  • Debora Fernandes
  • Ladack Chasambi
  • Awesu Awesu
  • Jean Charles Ahoua
  • Edwin Balua .

 

WASHAMBULIAJI :  Bravos vs Simba 12 January 2025

  • Leonel Ateba
  • Valentino Mashaka

Matokeo Bravos vs Simba leo

 

Uwanja : Simba vs Bravos 12/1/2025

Estádio 11 de Novembro ni uwanja wa matumizi mengi huko Talatona (karibu na Luanda), Angola. Ilikamilishwa mwaka wa 2010 kabla ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2010, iliandaa mechi tisa wakati wa mashindano hayo, zikiwemo mechi tano za Kundi A, mechi moja ya Kundi B, robo fainali moja, nusu fainali moja na fainali. Gharama yake inakadiriwa ni karibu dola za Marekani milioni 227.

Muhtasari
Kwa sasa inatumiwa mara kwa mara na vilabu vya kandanda Primeiro de Agosto, Petro de Luanda na Benfica de Luanda wanaocheza Girabola. Uwezo wake ni 48,000.

Uwanja huo umepewa jina baada ya tarehe ya uhuru wa Angola.

Uwanja huo uko katika manispaa ya Talatona kwenye Barabara ya Expressway inayozunguka Luanda kando ya barabara

Soma Pia