Droo ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025

Droo ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025
Droo ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025

Droo ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025, The draw for the 2025 CAF Champions League quarterfinals, Rroo ya Robo Fainali CAF Champions League

Droo ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025

Nchini Afrika michuano mikubwa zaidi ya Vilabu ni Klabu bingwa Barani Afrika maarufu kama CAF Champions League na kwa msimu wa 2024-2025 michuano hii imekuwa na mvuto mkubwa sana kutokana na Vilabu vingi vilivyopita katika hatua ya Robo Fainali kuonyesha uwezo Mkubwa.

 

Timu zilizofuzu hatua hii ya Robo Fainali ni

 

  1. Al Hilal Omdurman (Sudan) – Kwanza Kundi A
  2. ASFAR (Morocco) – Kwanza Kundi B
  3. Pyramids FC (Misri) – Kwanza Kundi D
  4. Orlando Pirates (Afrika Kusini) – Kwanza Kundi C
  5. Al Ahly (Misri) – Pili Kundi C
  6. MC Alger (Algeria) – Pili Kundi A
  7. Mamelodi Sundowns – Pili Kundi B
  8. Espérance Sportive de Tunis (Tunisia) – Pili Kundi D

 

Robo Fainali CAF Champions League

  1. Al Ahly (Misri) vs Al Hilal Omdurman (Sudan)
  2. Pyramids FC (Misri) vs ASFAR (Morocco)
  3. Mamelodi Sundowns (South Afrika ) vs Espérance Sportive de Tunis (Tunisia)
  4. MC Alger (Algeria) vs Orlando Pirates (Afrika Kusini)

Soma Pia

  1. Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
  2. Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
  3. Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2025
  4. Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
  5. Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
  6. Matokeo Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
  7. Kikosi cha Yanga vs KenGold leo 5 February 2025