Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025

Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025
Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025

Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025, Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber , Jinsi ya kubadili Kasi Fiber ya Yas , Jinsi ya Kubadili Kasi ya Fiber ya Tigo

Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025

Yas  Tanzania ni mtandao wa simu ambao zamani ulikuwa unajulikana kama mtandao wa Tigo,  ni kampuni ya mawasiliano ya mitandao ya simu nchini Tanzania.

Ikiwa na zaidi ya wanachama milioni 13.5 waliosajiliwa kwenye mtandao wake, Yas inaajiri moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja zaidi ya Watanzania 300,000, wakiwemo wawakilishi wa huduma kwa wateja, mawakala wa fedha za simu, mawakala wa mauzo, na wasambazaji.

Yas ni chapa kubwa zaidi ya kibiashara ya Axian Telecom Group, kampuni ya mawasiliano inayofanya biashara katika nchi tano za Afrika ikiwemo Madagascar, Comoro, Senegal, Togo, na Tanzania.

 

  1. Kwanza shika simu yako Piga *150*01#
  2. Chagua namba 4 iliyoandikwa Lipa Bili
  3. Baada ya hapo Chagua namba 2 kupata majina ya Kampuni
  4. Chagua 6 Yas Business
  5. Chagua 4 Lipa Yas Fiber
  6. Kisha Chagua 2 kubadili kasi
  7. Baada ya Hapo utaingiza namba ya kumbukumbu ya Malipo, Kisha fuata maelekezo.

 

Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025
Jinsi ya kubadili Kasi Yas Fiber 2025

 

Soma Pia