Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025

Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025
Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025

Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025, Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo 6 February 2025, Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo , Kikosi cha Simba vs Fountain Gate, Kikosi cha Simba dhidi ya Fountain Gate leo

Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025

Kikosi cha Simba leo kitakuwa uwanjani katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa uwanja uliopo katika Babati Mkoani Manyara kucheza dhidi ya wenyeji wao timu ya Fountain Gate , Kuelekea mchezo huo Kikosi cha Klabu ya Simba Kinatarajiwa kuanza na wachezaji wafuatao

Kikosi cha Simba vs Fountain Gate leo

Golini Bila Shaka wataanza na Kipa Moussa Camara, Shomari Kapombe beki wa Kulia, Mohammed Hussein Beki wa Kushoto, Hamza na Che Fondo Malone kama namba nne na tano.

 

Eneo la kati ya uwanja yani namba 6 na 8, Yusuph Kagoma na Ngoma, Mawinga Chasambi na Elie Mpanzu, Huku namba tisa na Kumi ni Lionel Ateba na Jean Charles Ahoua

 

Soma Pia