Kikosi cha Simba vs Tabora United leo 2 February 2025

Kikosi cha Simba vs Tabora United leo 2 February 2025
Kikosi cha Simba vs Tabora United leo 2 February 2025

Kikosi cha Simba vs Tabora United leo 2 February 2025, Kikosi cha Simba vs Tabora United leo , Kikosi cha Simba vs Tabora United, Kikosi cha Simba vs Tabora United leo 2/2/2025, Kikosi cha Simba vs Tabora leo 2 February 2025, Simba vs Tabora United leo, Vikosi Simba vs Tabora United leo 2 Februari 2025

Kikosi cha Simba vs Tabora United leo 2 February 2025

Kikosi cha Simba leo kitakuwa katika mkoa wa Tabora kucheza dhidi ya Tabora United ambao watakuwa wenyeji wa mchezo huo kati ya Tabora United dhidi ya Simba mechi ya Raaundi ya 16 NBC Premier League au Ligi kuu soka ya Tanzania Bara kwa msimu wa 2024-2025.

 

Kikosi cha Simba ambacho kitaanza leo dhidi ya Tabora United kinatarajiwa kuwa na wachezaji wengi waliozoeleka kuanza kikosi cha Kwanza na kitakuwa na mabadiliko makubwa kutoka kwenye kikosi kilichocheza dhidi ya Kilimanjaro Wonders mechi ambayo Simba ilishinda kwa mabao 6 kwa 0.

 

Kwenye makala hii tutaangazia juu ya Kikosi cha Simba ambacho kinaweza kuanza dhidi ya Tabora United leo 2/2/2025 , hiki siyo Official ila Official kitakuwa hapa saa tisa kasoro

Kikosi cha Simba vs Tabora United leo

  1. Moussa Camara
  2. Shomari Kapombe
  3. Mohammed Hussein
  4. Hamza
  5. Che Malone
  6. Yusuph Kagoma
  7. Fabrice Ngoma
  8. Kibu Denis
  9. Jean Ahoua
  10. Lionel Ateba
  11. Elie Mpanzu

 

Soma Pia

 

Soma Pia