Kikosi cha Simba vs Tanzania Prisons leo 11/2/2025
Kikosi cha Simba vs Tanzania Prisons leo 11/2/2025
Kifutacho ni Kikosi cha Simba kinachoweza kuanza dhidi ya Tanzania Prisons leo 11 February 2025 katika mchezo wa Ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League
Golini Bila Shaka wataanza na Kipa Moussa Camara, Shomari Kapombe beki wa Kulia, Mohammed Hussein Beki wa Kushoto, Hamza na Che Fondo Malone kama namba nne na tano.
Eneo la kati ya uwanja yani namba 6 na 8, Yusuph Kagoma na Ngoma, Mawinga Chasambi na Elie Mpanzu, Huku namba tisa na Kumi ni Lionel Ateba na Jean Charles Ahoua
Huu ni utabiri Tu ila Kikosi kamili kitakuwa Hapa kuanzia saa Tisa Kamili
Soma Pia
Leave a Reply