Kikosi cha Singida Black Stars vs Yanga 17/2/2025
Klabu ya Singida Black Stars leo itashuka katika uwanja wa KMC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League kucheza na Yanga ambayo inatumia uwanja wa KMC kama uwanja wake wa Nyumbani kucheza dhidi ya Singida Black Stars.
Katika makala hii tutaangazia juu ya Kikosi cha Singida Black Stars kinachoanza dhidi ya Yanga leo 17 February 2025, Singida Black Stars ni moja ya Klabu zenye wachezaji wengi wakigeni na wamekuwa wakiisaidia sana Singida Black Stars hali ambayo inafanya mechi dhidi ya Yanga kuonekana kuwa inaweza kuwa ngumu, nzuri na ya kuvutia.
Kikosi cha Singida Black Stars
- Masalanga
- Gadiel Michael
- Frank Assinki
- Frank Mkumbo
- Iddi Khalid Gego
- Serge Pokou
- Kelvin Nashon
- Mohamed Camara
- Rashid Juma
- Elvis Rupia
- Victorien Adebayor
Soma Pia
- Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
- Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
- Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2025
- Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
- Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Matokeo Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
- Kikosi cha Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
Leave a Reply