Kikosi cha Tabora United vs Simba leo 2 February 2025

Kikosi cha Tabora United vs Simba leo 2 February 2025
Kikosi cha Tabora United vs Simba leo 2 February 2025

Kikosi cha Tabora United vs Simba leo 2 February 2025, Kikosi cha Tabora United vs Simba leo , Kikosi cha Tabora United vs Simba , Kikosi cha Tabora United vs Simba leo 2/2/2025

Kikosi cha Tabora United vs Simba leo 2 February 2025

Katika makala hii tutakuwekea Kikosi cha Tabora United Kinachoanza dhidi ya Simba Sc leo 2 February 2025 , Kuelekea mchezo huo utakaochezwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Hata Hivyo Tabora United itawakosa nyota wake muhimu wawili wa safu ya Ushambuliaji ambao ni Yacouba Songne ambaye ni majeruhi na Heritier Makambo mwenye kadi tatu za Njano hivyo hao hawatacheza .

Kikosi kitakuwa hapa Kuanzia saa Tisa Alasiri

Soma Pia

Soma Pia