Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025, Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10 February 2025, Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo , Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10 Februari 2025
Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
Kikosi cha Yanga leo 10 February 2025 kitakuwa uwanjani kucheza dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi kuu ya Tanzania, NBC Premier League, Mpaka sasa Yanga wanaongoza msimamo wa Ligi wakiwa mbele ya Simba kwa point Moja , Yanga mpaka sasa wanapoints 45
Kwa upande wa JKT Tanzania wao wako katika nafasi ya 10 wakiwa na Points 19 mara baada ya kucheza jumla ya mechi 17, Katika makala hii tunaangazia Kikosi cha Yanga kinachoweza kuanza dhidi ya JKT Tanzania
Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania Leo
- Djigui Diarra
- Israel Mwenda
- Shadrack Boka
- Ibrahim Hamad Bacca
- Dickson Job
- Khalid Aucho
- Pacome Zouzoua
- Mudathir Yahya
- Prince Dube
- Clement Mzize
- Clatous Chama
Soma Pia
- Msimamo ligi kuu ya Wanawake Tanzania 2024-2025
- Matokeo Ya Yanga vs Copco leo 25 January 2025
- Msimamo Ligi daraja la Kwanza Tanzania 2024-2025
- Ratiba ya Azam Ligi kuu 2024-2025 Raundi ya Pili
- Ratiba ya Simba Raundi ya Pili Ligi Kuu 2024-2025
- Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Ratiba Ya Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Ratiba Mpya Ligi kuu NBC 2024-2025 Raundi ya Pili
Alichosema kocha wa Yanga Miloud Hamdi
“Tunatambua kuwa Kesho tutakuwa na Mchezo mgumu lakini tutafanya juhudi kubwa kuhakikisha tunapata alama tatu, nawafahamu JKT Tanzania ni timu nzuri na wanapenda kucheza vizuri hivyo sisi tutajiandaa kucheza vizuri ili kupata alama tatu”
“Ni kweli Mchezo uliyopita tumefunga magoli 6 na ni kwa sababu tuna kikosi bora, Jukumu letu ni kuhakikisha tunafanya vizuri kila mchezo, nina imani kubwa kwa Wachezaji wangu na tumezungumza kuwa kwa sasa kitu muhimu ni kupata pointi 3 na sio idadi ya magoli”
Miloud Hamdi.
Leave a Reply