Makundi ya AFCON 2025

Makundi ya AFCON 2025
Makundi ya AFCON 2025

Makundi ya AFCON 2025, Timu zitakazoshiriki AFCON 2025, Kundi la Taifa Stars AFCON 2025, Tanzania Iko Kundi Gani AFCON 2025, AFCON 2025 Makundi

Makundi ya AFCON 2025

Leo Tuanenda Kujua Makundi ya AFCON 2025,Na hizi ndizo nchi zitakazoshiriki AFCON 2025 Algeria, Angola, Benin, Botswana, Burkina Faso, Cameroon, Comoros, Cote d’Ivoire, Democratic Republic of Congo, Egypt, Equatorial Guinea, Gabon, Mali, Morocco, Mozambique, Nigeria, Senegal, South Africa, Sudan, Tanzania, Tunisia, Uganda, Zambia and Zimbabwe.

Droo ya Kombe la Mataifa Afrika 2025 (AFCON 2025) itafanyika leo Januari 27, 2025 kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mohammed V uliopo Rabat jijini Morocco huku timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars ikitarajiwa kubaini wapinzani wake itakaokutana nao kwenye hatua ya makundi.

tANZANIA Maarufu kama Taifa Stars ambao ni miongoni mwa timu 24 zitakazoshiriki michuano hiyo itakayoanza kutimua vumbi Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18 mwakani ipo kwenye chungu (Pot) cha nne sambamba na Msumbiji, Comoro, Zimbabwe, Sudan na Botswana huku timu shiriki zikipangwa katika vyungu vinne vyenye timu sita kulingana na ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA),

Kwenye droo ya michuano hiyo ya 35, kufanyika kihistoria tangu ilipoanzishwa mwaka 1957 kutakuwa na makundi sita yenye timu nne, huku zitakazomaliza katika nafasi mbili za juu kwa kila kundi zitafuzu moja kwa moja hatua ya 16.

 

Timu zitakazoshiriki AFCON 2025

Algeria, Angola, Benin, Botswana, Burkina Faso, Cameroon, Comoros, Cote d’Ivoire, Democratic Republic of Congo, Egypt, Equatorial Guinea, Gabon, Mali, Morocco, Mozambique, Nigeria, Senegal, South Africa, Sudan, Tanzania, Tunisia, Uganda, Zambia and Zimbabwe.

 

KUNDI A

  1. Morocco
  2. Mali
  3. Zambia
  4. Comoros

 

KUNDI B

  1. Egypt
  2. South Africa
  3. Angola
  4. Zimbabwe

 

KUNDI C

  1. Nigeria
  2. Tunisia
  3. Uganda
  4. Tanzania

 

KUNDI D

  1. Senegal
  2. DR Congo
  3. Benin
  4. Botswana

 

KUNDI E

  1. Algeria
  2. Burkina Faso
  3. Equitorial Guinea
  4. Sudan

 

KUNDI F

  1. Ivory Coast
  2. Cameroon
  3. Gabon
  4. Mozambique

 

Soma Pia