Matokeo Constantine vs Bravos 5/1/2025 Kundi la Simba, Matokeo ya Constantine vs Bravos 5/1/2025 Kundi la Simba, Matokeo Constantine vs Bravos 5/1/2025 , Matokeo Constantine vs Bravos 5 January 2025 , Matokeo Constantine vs Bravos 5 Januari 2025 , Bravos vs Constantine leo, Matokeo Kombe la Shirikisho Bravos vs Constantine, Matokeo Constantine vs Bravos Jana
Matokeo Constantine vs Bravos 5/1/2025 Kundi la Simba
Matokeo Ya Kundi A kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Constantine dhidi ya Bravos mechi ya NNe katika Kundi , huku timu hizi zikiwa ndizo zinazoongoza katika kundi kabla ya timu hizi kucheza mechi ya 4.
Matokeo Constantine vs Bravos
Soma Pia
- Msimamo NBC Championship 2024-2025 Tanzania
- Matokeo ya Livepool vs Manchester United leo 5/1/2025
- Matokeo ya Al Hilal vs MC Alger leo 5/1/2025
- Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba leo 5/1/2025
- Kikosi cha Simba vs Sfaxien leo 5/1/2025
- Muda wa Mechi Simba vs Sfaxien leo 5/1/2024
- Kikosi cha TP Mazembe vs Yanga leo 4 Januari 2025
- Kikosi cha Yanga vs TP Mazembe leo 4 Januari 2025
- Wachezaji Watakaokosekana Yanga vs Tp Mazembe 4.1.2025
- Kikosi cha Kilimanjaro Stars vs Zanzibar Heroes leo
- Ratiba Kombe la Mapinduzi 2025 Mapinduzi Cup
- Viingilio Mechi ya Yanga vs TP Mazembe 4 January 2024
- Wachezaji wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025
- MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025
- Matokeo ya Kombe la Mapinduzi 2025 Mapinduzi Cup
Uwanja : Chahid Hamlaoui Stadium
Uwanja wa Chahid Hamlaoui (Kiarabu: ملعب الشهيد حملاوي) ni uwanja wa matumizi mengi huko Constantine, Algeria. Kwa sasa inatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 22,968. [1] Inatumika kama uwanja wa nyumbani wa CS Constantine na MO Constantine.
Historia
Miaka miwili baada ya kuanza kwa ujenzi wake mwaka 1971, uwanja mkubwa zaidi wa Constantine ulifungua milango yake katika kumbukumbu ya miaka 11 ya uhuru wa nchi hiyo, Julai 5, 1973. Uliotajwa kwa jina la Chahid Slimane Daoudi alimwita Hamlaoui, mwanamgambo wa kitaifa aliyekufa wakati wa Algeria. vita. Mechi ya kwanza katika uwanja huu ilifanyika Jumatano, Aprili 3, 1974, wakati wa fainali ya michuano ya kijeshi. Novemba 17, 1978, uwanja wa Chahid-Hamlaoui ulikuwa mwenyeji wa mechi ya kwanza ya kirafiki ya timu ya taifa ya Algeria, ambayo ilikutana na mwenzake wa Kongo, mechi hii ilimalizika kwa ushindi wa Greens kwa 3-0.
Muda wa Mechi Constantine vs Bravos
Mechi kati ya Constantine dhidi ya Bravos itachezwa kuanzia majira ya saa nne usiku huko nchini Algeria , ambapo itachezwa mechi hiyo
Leave a Reply