Matokeo Kengold vs Fountain Gate leo 10/2/2025, Matokeo ya Kengold vs Fountain Gate leo 10/2/2025, Matokeo Kengold vs Fountain Gate leo 10 February 2025,Kengold vs Fountain Gate, Kengold vs Fountain Gate leo
Matokeo Kengold vs Fountain Gate leo 10/2/2025
Ligi kuu ya Tanzania inaendelea leo na moja kati ya mchezo utakaochezwa leo ni kati ya Kengold ambao watakuwa nyumbani katika uwanja wa Sokoine kuwakaribisha timu ya Fountain Gate ambayo kwasasa imehamishia makazi yake katika wilaya ya BABATI katika mkoa wa Manyara.
Kuelekea mchezo wa Ken Gold dhidi ya Fountain Gate leo 10 February 2025 Kengold wanaingia kwenye mchezo huo Kengold wanaingia katika mechi hiyo wakiwa mkiani kabisa mwa msimamo wakiwa nafasi ya 16 katika timu 16 lakini pia wanaigia kwenye mechi hiyo wakiwa wametoka kupoteza kwa bao 6 kwa 1 mbele ya Yanga.
Kwa upande wa Fountain Gate wao wapo katika nafasi ya 7 ya msimamo wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League wakiingia kwenye mechi hiyo huku wakiwa wametoka kutoa sare na klabu ya Simba , sare ya bao 1 kwa 1.
FULL TIME
KENGOLD 2 – 0 FOUNTAIN GATE ( SELEMAN BWENZI, CHIRWA )
Msimamo Ligi kuu ya Tanzania 2024-2025
Matokeo Mechi za Kengold
Tarehe | Pinzani | Mashindano | Matokeo | Matokeo ya Mechi |
---|---|---|---|---|
5 Februari 2025 | Young Africans SC | Ligi Kuu | Kipigo | 1-6 |
24 Desemba 2024 | Singida Black Stars | Ligi Kuu | Kipigo | 1-2 |
18 Desemba 2024 | Simba SC | Ligi Kuu | Kipigo | 0-2 |
15 Desemba 2024 | Namungo FC | Ligi Kuu | Kipigo | 2-3 |
1 Desemba 2024 | Pamba Jiji | Ligi Kuu | Kipigo | 0-1 |
23 Novemba 2024 | Coastal Union | Ligi Kuu | Sare | 1-1 |
3 Novemba 2024 | Tanzania Prisons | Ligi Kuu | Kipigo | 0-1 |
29 Oktoba 2024 | Dodoma Jiji FC | Ligi Kuu | Sare | 2-2 |
25 Oktoba 2024 | Azam FC | Ligi Kuu | Kipigo | 1-4 |
21 Oktoba 2024 | Mashujaa | Ligi Kuu | Kipigo | 0-3 |
4 Oktoba 2024 | JKT Tanzania | Ligi Kuu | Ushindi | 1-0 |
28 Septemba 2024 | Kitayosce | Ligi Kuu | Sare | 1-1 |
25 Septemba 2024 | Young Africans SC | Ligi Kuu | Kipigo | 0-1 |
20 Septemba 2024 | Kagera Sugar | Ligi Kuu | Kipigo | 0-2 |
16 Septemba 2024 | Kinondoni MC | Ligi Kuu | Kipigo | 0-1 |
11 Septemba 2024 | Singida Big Stars | Ligi Kuu | Kipigo | 1-2 |
18 Agosti 2024 | Singida Black Stars | Ligi Kuu | Kipigo | 1-3 |
Matokeo mechi za Fountain Gate
Tarehe | Timu za Nyumbani | Timu za Ugenini | Matokeo |
---|---|---|---|
6 Februari 2025 | Singida Fountain Gate | Simba SC | 1-1 |
29 Desemba 2024 | Young Africans | Singida Fountain Gate | 5-0 |
25 Desemba 2024 | Singida Fountain Gate | Namungo FC | 1-2 |
17 Desemba 2024 | Azam FC | Singida Fountain Gate | 2-0 |
13 Desemba 2024 | Singida Fountain Gate | Coastal Union | 3-2 |
29 Novemba 2024 | Singida Fountain Gate | JKT Tanzania | 0-1 |
5 Novemba 2024 | Singida Fountain Gate | Pamba Jiji | 1-3 |
28 Oktoba 2024 | Singida Fountain Gate | Mashujaa | 2-2 |
25 Oktoba 2024 | Singida Black Stars | Singida Fountain Gate | 2-0 |
21 Oktoba 2024 | Singida Fountain Gate | Kinondoni MC | 3-1 |
1 Oktoba 2024 | Tanzania Prisons | Singida Fountain Gate | 3-2 |
27 Septemba 2024 | Singida Fountain Gate | Kagera Sugar | 3-1 |
20 Septemba 2024 | Kitayosce | Singida Fountain Gate | 1-3 |
15 Septemba 2024 | Singida Fountain Gate | Dodoma Jiji FC | 2-2 |
11 Septemba 2024 | Singida Fountain Gate | KenGold | 2-1 |
29 Agosti 2024 | Namungo FC | Singida Fountain Gate | 0-2 |
25 Agosti 2024 | Simba SC | Singida Fountain Gate | 4-0 |
Soma Pia
- Msimamo ligi kuu ya Wanawake Tanzania 2024-2025
- Matokeo Ya Yanga vs Copco leo 25 January 2025
- Msimamo Ligi daraja la Kwanza Tanzania 2024-2025
- Ratiba ya Azam Ligi kuu 2024-2025 Raundi ya Pili
- Ratiba ya Simba Raundi ya Pili Ligi Kuu 2024-2025
- Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Ratiba Ya Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Ratiba Mpya Ligi kuu NBC 2024-2025 Raundi ya Pili
Leave a Reply