Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10/2/2025

Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10/2/2025
Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10/2/2025

Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10/2/2025, Matokeo ya KMC vs Singida Black Stars leo 10/2/2025, Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10 February 2025, Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10 Februari 2025

Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo 10/2/2025

Katika makala hii tutaangazia matokeo ya mechi kati ya KMC watoza ushuru kutoka Kindondoni watakaokuwa nyumbani KMC Complex kucheza dhidi ya wageni wao Singida Black Stars kutoka katika ardhi inayosifika kwa kutoa mafuta bora na mazuri ya Alizeti Singida.

Singida Black Stars inaingia katika mchezo huu ikiwa imetoka kutoka sare dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliopita kwa kutoka sare ya bao 2 kwa 2, Na Upande wa KMC wao wanaingia katika mchezo huo wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita wakiwa wamefungwa na Azam Fc bao 2 kwa 0

 

Soma Pia

 

Matokeo KMC vs Singida Black Stars leo

HALF TIME

KMC 2 – 0 SINGIDA BLACK STARS

 

FULL TIME

KMC 2 – 0 SINGIDA BLACK STARS