Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025

Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025
Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025

Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025, Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025, Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 February 2025, Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9/2/2025

Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025

Ligi kuu ya Tanzania ni moja kati ya ligi zinazofuatiliwa kwa ukaribu sana na watu wengi na leo 9 Februari itaendelea kwa michezo miwili kuchezwa katika mikoa miwili tofuati, Kwenye makala hii tutakuwekea Matokeo ya Pamba Jiji vs Dodoma Jiji leo 9 February 2025, na Matokeo ya Namungo vs Dodoma Jiji leo

 

Pamba Jiji vs Azam

Katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kutakuwa na mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Azam, Pamba jiji walifanya usajili mkubwa wakati wa Dirisha DOGO na tayari ishaanza kuwalipa kwani katika mchezo uliopita walipata ushindi ugenini dhidi ya Dodoma Jiji, Leo saa 10 kamili wataikaribisha Azam Fc.

 

FULL TIME

Pamba Jiji 1 – 0 Azam (Kaseke)

Namungo vs Dodoma Jiji

Klabu ya Namungo leo 9 February itakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa uliopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi kucheza dhidi ya Dodoma Jiji waliosafiri kutoka Jiji la Dodoma , Mechi hiyo itaanza majira ya saa moja kamili usiku, Namungo wametoka kupoteza mechi iliyopita, wakati huo Dodoma Jiji nao pia wametoka kupoteza mechi iliyopita kwenye ligi kuu ya NBC 2024/2025

 

FULL TIME

Namungo 2 – 2 Dodoma Jiji

Soma Pia