Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6/2/2025

Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6/2/2025
Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6/2/2025

Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6/2/2025, Matokeo mechi za Leo Ligi kuu , Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC, Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6 February 2025

 

Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6/2/2025

Katika makala hii ya Ligikuu Forum tunaangazia kuhusu matokeo ya Mechi za Ligikuu Tanzania Bara NBC Premier League za 6 FEBRUARY 2025

 

Tanzania Prisons vs Mashujaa

Ligi kuu NBC Leo 6 February itaendelea leo na moja ya Mechi za mapema itakuwa kati ya ya Tanzania Prisons dhidi ya Mashujaa ambayo itaanza saa nane kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki , mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Sokoine uliopo jijini Mbeya

FULL TIME

Tanzania Prisons 2 – 1 Mashujaa

Dodoma Jiji vs Pamba Jiji

Hii ni mechi ya Timu za Majiji ya Dodoma na Mwanza kwani timu hizi zote ziko chini ya Halmashauri za majiji, Mechi ya Dodoma Jiji dhidi ya Pamba Jiji itachezwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na itaanza saa nane kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki.

FULL TIME

Dodoma Jiji 0 – 1 Pamba Jiji

Fountain Gate vs Simba

Mechi nyingine ya Ligikuu NBC Premier League itaendelea leo 6 February 2025 itakuwa kati ya Fountain Gate dhidi ya Simba leo, mechi ikichezwa Tanzanite Kwaraa uwanja uliopo Manyara , mechi hii itachezwa saa kumi na Robo kwa saa za Afrika Mashariki

FULL TIME

Fountain Gate 1 – 1 Simba

 

 

Azam vs KMC

Mechi ya Mwisho kwa leo 6 February 2025 itakuwa kati ya Timu kutokea jijini Dar es Salaam moja ikiwakilisha Kinondoni na Nyingine ikiwakilisha wilaya ya Temeke, Azam Fc wao wanawakilisha wilaya ya Temeke, wakati KMC wakilisha Kinondoni mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Azam kuanzia saa moja kamili Usiku.

 

FULL TIME

Azam 2 – 0 KMC