Matokeo Namungo vs Dodoma Jiji leo 9/2/2025, Matokeo Namungo vs Dodoma Jiji leo , Matokeo ya Namungo vs Dodoma Jiji leo 9/2/2025, Matokeo Namungo vs Dodoma Jiji leo 9 February 2025
Matokeo Namungo vs Dodoma Jiji leo 9/2/2025
Makala Hii inaangazia Matokeo kati ya Namungo vs Dodoma Jiji mechi ya Ligi kuu NBC 2024-2025, Kupitia Ligi kuu Forum tutaakuwekea matokeo ya Mchezo huo moja kwa moja kulingana na matokeo yanavyoendelea
Uwanja : Namungo vs Dodoma Jiji Leo
Mechi kati ya Namungi vs Dodoma Jiji leo 9 February 2025 itachezwa katika uwanja wa Majaliwa ambao ni uwanja uliopo katika wilaya ya Ruangwa katika mkoa wa Lindi
Muda wa Mechi Namungo vs Dodoma Jiji
Mechi kati ya Namungo dhidi ya Dodoma Jiji itaanza kuanzia majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Matokeo Namungo vs Dodoma Jiji leo
FULL TIME
Namungo 2 – 2 Dodoma Jiji
Jedwali la Matokeo ya Namungo vs Dodoma Jiji
Hapa chini ni jedwali linaloonyesha matokeo ya mechi zilizochezwa kati ya Dodoma Jiji FC na Namungo FC kuanzia mwaka 2021 hadi Februari 2025:
Tarehe | Uwanja | Matokeo | Mashindano |
---|---|---|---|
22 Desemba 2021 | Uwanja wa Jamhuri, Dodoma | Namungo FC 1-2 Dodoma Jiji FC | Ligi Kuu Bara |
18 Aprili 2021 | Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa | Namungo FC 1-0 Dodoma Jiji FC | Ligi Kuu Bara |
23 Mei 2022 | Uwanja wa Jamhuri, Dodoma | Dodoma Jiji FC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu Bara |
22 Desemba 2021 | Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa | Namungo FC 1-2 Dodoma Jiji FC | Ligi Kuu Bara |
6 Juni 2023 | Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa | Namungo FC 0-1 Dodoma Jiji FC | Ligi Kuu Bara |
3 Desemba 2023 | Uwanja wa Jamhuri, Dodoma | Namungo FC 1-0 Dodoma Jiji FC | Ligi Kuu Bara |
14 Mei 2024 | Uwanja wa Jamhuri, Dodoma | Dodoma Jiji FC 0-0 Namungo FC | Ligi Kuu Bara |
12 Septemba 2024 | Uwanja wa Jamhuri, Dodoma | Dodoma Jiji FC 1–0 Namungo FC | Ligi Kuu Bara |
Leave a Reply