Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025

Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025
Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025

Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025,Matokeo Azam vs Pamba leo, Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9 February 2025, Matokeo ya Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025, Azam vs Pamba leo, Pamba vs Azam Leo

Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025

Makala hii inaangazia matokeo ya Mechi kati ya Pamba Jiji vs Azam leo 9 February 2025, Huu ni mchezo wa mzunguko wa Pili NBC Premier League , Katika mchezo wa Kwanza klabu za Pamba na Azam mechi yao ilimalizika kwa Pamba Jiji na Azam kutoka sare isiyokuwa na bao yani bao 0 kwa 0 mechi ikichezwa uwanja wa Azam .

 

Uwanja Pamba Jiji vs Azam

Uwanja ambao utatumika kwaajili ya mechi kati ya Pamba Jiji dhidi ya Azam utakuwa ni uwanja wa CCM Kirumba uwanja ambao unasifika kwa kuwa na eneo zuri la Kuchezea (Pitch )

MATOKEO PAMBA JIJI VS AZAM LEO

HALF TIME

PAMBA JIJI 0 – 0 AZAM

 

FULL TIME

PAMBA JIJI 1 – 0 AZAM (Deus Kaseke )

Matokeo ya Mechi za Karibuni za Pamba Jiji FC

Hapa chini ni jedwali linaloonyesha matokeo ya mechi za hivi karibuni za Pamba Jiji FC katika Ligi Kuu ya Bara ya Tanzania:

TareheKipindi cha MechiTimu za KushirikiMatokeo
6 Februari 2025Ligi Kuu BaraDodoma Jiji FC vs Pamba Jiji0 – 1
26 Desemba 2024Ligi Kuu BaraTanzania Prisons vs Pamba Jiji1 – 0
16 Desemba 2024Ligi Kuu BaraKinondoni MC vs Pamba Jiji1 – 0
11 Desemba 2024Ligi Kuu BaraJKT Tanzania vs Pamba Jiji0 – 0
1 Desemba 2024Ligi Kuu BaraPamba Jiji vs KenGold1 – 0
22 Novemba 2024Ligi Kuu BaraPamba Jiji vs Simba SC0 – 1
5 Novemba 2024Ligi Kuu BaraSingida Big Stars vs Pamba Jiji1 – 3
5 Novemba 2024Ligi Kuu BaraSingida Big Stars vs Pamba Jiji1 – 3
28 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraNamungo FC vs Pamba Jiji1 – 0
23 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraKitayosce vs Pamba Jiji1 – 0
20 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraPamba Jiji vs Kagera Sugar1 – 1
3 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraYoung Africans vs Pamba Jiji4 – 0
28 Septemba 2024Ligi Kuu BaraCoastal Union vs Pamba Jiji2 – 0
21 Septemba 2024Ligi Kuu BaraPamba Jiji vs Mashujaa2 – 2

 

 

Matokeo ya Mechi za Karibuni za Azam FC

Azam FC imekuwa na matokeo bora katika mechi zake za hivi karibuni. Hapa chini ni jedwali linaloonyesha matokeo ya mechi zao za hivi karibuni:

TareheKipindi cha MechiTimu ya NyumbaniTimu ya UgeniniMatokeo
6 Februari 2025Ligi Kuu BaraAzam FCKinondoni MC2-0
27 Desemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCJKT Tanzania3-1
17 Desemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCSingida Big Stars2-0
13 Desemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCKitayosce2-1
1 Desemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCDodoma Jiji FC3-1
28 Novemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCSingida Black Stars2-1
23 Novemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCKagera Sugar1-0
23 Novemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCKagera Sugar1-0
2 Novemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCYoung Africans1-0
25 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCKenGold4-1
18 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCTanzania Prisons2-0
3 Oktoba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCNamungo FC1-0
29 Septemba 2024Ligi Kuu BaraAzam FCMashujaa0-0

Kwa jumla, Azam FC imeonyesha kiwango cha juu katika mechi zake za hivi karibuni, ikishinda mechi nyingi na kuonyesha ufanisi mkubwa katika mashindano ya Ligi Kuu Bara.