Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19/2/2025

Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19/2/2025
Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19/2/2025

Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19/2/2025, Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19 February 2025, Matokeo Coastal Union vs Azam 19/2/2025

Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19/2/2025

Ligi kuu ya Tanzania NBC Inaendelea kwa mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Azam mechi ambayo itachezwa katika Jiji la kitalii jiji linalojulikana pia Kama Geneva of Afrika Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta .

Mechi kati ya Coastal Union vs Azam inachezwa kuanzia saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki , Huku timu ya Azam ikiingia katika mechi hiyo Coastal Union vs Azam ikiwa na Kumbukumbu ya Matokeo mazuri katika mchezo wa Raundi ya Kwanza kwani Azam ilipata matokeo ya bao 1 kwa 0 mbele ya Coastal Union.


 

Soma Pia

  1. Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
  2. Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
  3. Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2025
  4. Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
  5. Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
  6. Matokeo Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
  7. Kikosi cha Yanga vs KenGold leo 5 February 2025