Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025

Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025
Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025

Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025, Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 February 2025, Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14/2/2025, Matokeo Ligi kuu NBC Leo February 14 2025

Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025

Katika makala hii tunakuwekea matokeo ya Mechi nne za Ligi kuu NBC Premier League kwa leo 14 February 2025  , Mechi hizi zitachezwa kwa muda tofauti kukiwa na mechi ya SAA nane, mechi mbili za saa kumi na moja ya saa moja usiku.

 

 

Matokeo ya Tabora United vs Kengold 14/2/2025

Tabora United watakuwa nyumbani katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo katika mkoa wa Tabora , Mpaka sasa kwenye msiamamo Tabora United wapo katika nafasi ya 5 wakiwa na Points  zao 31 na Kengold wao wakiwa katika nafasi ya 16 kati ya timu 16 wakiwa na Points 9. Mechi hii itaanza saa nane kamili

 

FULL TIME

Tabora United 1 – 1 Kengold

Matokeo ya Tanzania Prisons vs Namungo 14/2/2025

Klabu ya Tanzania Prisons ambayo imetoka kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Simba itakuwa nyumbani katika uwanja wa ccm Sokoine kuwakaribisha Namungo, Tanzania Prisons wapo katika nafasi ya 14 wakiwa na Points 17, Nao Namungo ambao wapo katika nafasi ya 13 wanajumla ya Points 18, kwahiyo battle itakuwa kubwa sana kwa timu hizi kwani zote zipo katika nafasi ambazo siyo salama sana. Mechi hii ya Tanzania Prisons vs Namungo itaanza saa kumi na Robo kwa saa za Afrika Mashariki.

 

FULL TIME

Tanzania Prisons 0 – 1 Namungo

Matokeo ya KMC vs Yanga 14/2/2025

Klabu ya KMC itakuwa Nyumbani katika uwanja wa KMC kuwakaribisha klabu ya Yanga katika mchezo ambao unatarajiwa kuwa mgumu na wa kuvutia , KMC wao wapo katika nafasi ya 7 wakiwa na Points zao 22 na wakiwa wametoka kushinda katika mchezo uliopita, Klabu ya Yanga wao wapo katika nafasi ya Pili wakiwa na Points 46. Mechi hii itaanza saa kumi na Robo 1615 Hours .

FULL TIME

KMC 1 – 6 YANGA

Matokeo Kagera Sugar vs Fountain Gate leo 14/2/2025

Katika uwanja wa Kaitaba uliopo kwenye Manispaa ya Bukoba klabu ya Kagera Sugar itakuwa dimbani kucheza mchezo wake dhidi ya Fountain Gate ambao wapo katika nafasi ya 8 wakiwa na Points zao 21, huko Kagera Sugar wakiwa nafasi ya 15 kati ya timu 16 wakiwa na Points zao 12. Mechi itaanza saa moja kamili usiku.

FULL TIME

Kagera Sugar 3 – 0 Fountain Gate

Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025

Soma Pia

 

 

Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025, Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 February 2025, Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14/2/2025, Matokeo Ligi kuu NBC Leo February 14 2025