Matokeo Ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars, Matokeo Ya Yanga vs Singida Black Stars,Yanga vs Singida Black Stars, Matokeo ya Yanga vs Singida Black Stars leo 17 February 2025
Matokeo Ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars
Katika makala hii tutaangazia juu ya matokeo kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo 17 February 2025, mechi ikiwa ni ya Ligi kuu ya Tanzania maarufu kama NBC Premier league kwa msimu wa mwaka 2024-2025 huku kwa sasa ikiwa ni raundi ya Lala salama yani Raundi ya Pili.
Upande wa Yanga
Upande wa Klabu ya Yanga kwasasa ndiyo wanaoongoza ligi kuu ya NBC kwa kuwa na Points zao 49 baada ya kucheza jumla ya mechi 19, Katika mechi hizo 19 klabu ya Yanga imeshinda jumla ya mechi 16 lakini imepoteza mechi 2 na kutoa sare mechi moja hivyo ukipiga hesabu unapata jumla ya Points 49.
Upande wa Singida Black Stars
Singida Black Stars ambayo ni klabu kutoka mkoa wa Singida wenyewe wataingia katika mechi hiyo wakiwa katika nafasi ya nne wakiwa na Points zao 37 baada ya kucheza mechi 19, na katika mechi hizo 19 klabu ya Singida Black Stars imeshinda mechi 11, Singida Black Stars imetoa sare mechi 4 lakini Pia Singida Black Stars imefungwa jumla ya mechi 4 wakiwa nafasi ya 4.
Uwanja utakaotumika :Yanga vs Singida Black stars
Mechi ya Yanga vs Singida Black Stars itachezwa katika uwanja wa KMC ambao upo chini ya Umiliki wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam kuanzia saa kumi kamili.
Matokeo Yanga vs Singida Black Stars leo
HALF TIME
YANGA 2 – 0 SINGIDA BLACK STARS (14′ MZIZE, 44′ dube )
FULL TIME
YANGA 2 – 1 SINGIDA BLACK STARS (14′ MZIZE, 44′ Dube, 90′ Sowah )
Soma Pia
- Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
- Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
- Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2025
- Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
- Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Matokeo Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
- Kikosi cha Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
Leave a Reply