Matokeo Yanga vs JKT leo 10 Februari 2025, Matokeo Yanga vs JKT Tanzania, Yanga vs JKT Leo, Matokeo Ya Yanga vs JKT, JKT Tanzania vs Yanga, Matokeo Yanga vs JKT Tanzania 10 February 2025, Yanga vs JKT Tanzania 10/2/2025
Matokeo Yanga vs JKT leo 10 Februari 2025
Yanga vs JKT Tanzania ni mechi ambayo inatarajiwa kuwa nzuri na ya Kuvutia kwani Klabu ya Yanga licha ya kuwa bora na kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na hata michuano ya nje ila pia imekuwa ikikutana na klabu za ndani ambazo huwa zinaisumbua na mara kadhaa kuambulia sare au hata kupoteza mchezo.
Mfano klabu ya JKT Tanzania katika msimu uliopita iliweza kuisimamisha klabu ya Yanga iliyokuwa vizuri kwa kutoka nao sare katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uwanja wa nymbani wa JKT Tanzania, Mechi hiyo iliyochezwa tarehe 24 April 2024 ilimalizika kwa matokeo ya 0 Kwa 0.
Matokeo Yanga vs JKT Tanzania
Katika Ligi Kuu Bara ya Tanzania, timu za JKT Tanzania na Young Africans (Yanga) zimekutana mara kadhaa katika miaka ya hivi karibuni. Hapa chini ni muhtasari wa matokeo ya mechi zao za awali:
Tarehe | Matokeo | Uwanja |
---|---|---|
22 Oktoba 2024 | Yanga 2-0 JKT Tanzania | Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam |
24 Aprili 2024 | JKT Tanzania 0-0 Yanga | Uwanja wa Isamuhyo, Dar es Salaam |
29 Agosti 2023 | Yanga 5-0 JKT Tanzania | Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam |
Matokeo Yanga vs JKT leo
HALF TIME
JKT Tanzania 0 – 0 Yanga
FULL TIME
JKT Tanzania 0 – 0 Yanga
Kwa msimu huu Klabu ya Yanga katika mechi ya Mkondo Wa Kwanza kama inavyoonekana katika jedwali ilishinda kwa bao 2 kwa 0 , JKT Tanzania haijawahi kupata ushindi wa aina yoyote ile mbele ya Yanga katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania NBC, Lakini pia ushindi mkubwa kwa Yanga mbele ya JKT Tanzania ni ushindi wa bao 5 kwa 0 ambao ilikua Msimu wa 2023-2024 mechi ya Mkondo wa Kwanza
Alichokosema Kocha wa Yanga kuelekea Mechi na JKT Tanzania
“Tunatambua kuwa Kesho tutakuwa na Mchezo mgumu lakini tutafanya juhudi kubwa kuhakikisha tunapata alama tatu, nawafahamu JKT Tanzania ni timu nzuri na wanapenda kucheza vizuri hivyo sisi tutajiandaa kucheza vizuri ili kupata alama tatu”
“Ni kweli Mchezo uliyopita tumefunga magoli 6 na ni kwa sababu tuna kikosi bora, Jukumu letu ni kuhakikisha tunafanya vizuri kila mchezo, nina imani kubwa kwa Wachezaji wangu na tumezungumza kuwa kwa sasa kitu muhimu ni kupata pointi 3 na sio idadi ya magoli”
Miloud Hamdi.
Soma Pia
- Matokeo Namungo vs Dodoma Jiji leo 9/2/2025
- Matokeo Ligi daraja la Kwanza leo 9/2/2025
- Matokeo Ligi kuu NBC Leo 9 Februari 2025
- Msimamo Ligi daraja la Kwanza Tanzania 2024-2025
- MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025
- Matokeo Pamba Jiji vs Azam leo 9/2/2025
- Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9 Februari 2025
- Ratiba ya Ligi kuu Tanzania leo 7/2/2025
- Matokeo mechi za Leo Ligi kuu NBC 6/2/2025
- Matokeo Azam vs KMC Leo 6/2/2025
Leave a Reply