MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025
MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025, Msimamo NBC Premier League ,Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara, Ligi Kuu Bara 2025 live scores, results, Football Tanzania,Ligi Kuu Bara 2024/2025 – Tanzania,Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Bara

 

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025

Msimamo Ligi kuu Tanzania bara ni ligi ya mchezo wa Soka wengine wakiita Mpira wa Miguu ambayo imekuwa ikichezwa kwa kushirikisha Jumla ya Timu 16, ambazo kupitia ushindani uliopo hufanya kupatikana kwa msimamo wa ligi kuu kutoka Timu ya Kwanza mpaka timu ya 16.

Ligi kuu ya Tanzania bara hushirikisha jumla ya Timu 16 ambazo kwa msimu wa 2024-2025 timu ambazo zinashiriki ligi kuu ni Yanga, Simba, Azam zote zikiwakilisha jiji la Dar es Salaam, JKT Tanzania na KMC ambazo pia Huwakilisha Jiji la Dar Es Salaam, Timu nyingine ni Singida Black Stars zamani ikijulikana kama IHEFU, Singida ni klabu inayowakilisha mkoa wa Singida katika Ligi kuu.

 

Timu nyingine ni Tabora United kutoka mkoa wa Tabora, Fountain Gate , Mashujaa, Dodoma Jiji, Mashujaa, Coastal Union, Namungo, Tanzania Prisons, Pamba kutoka Mwanza, Kagera Sugar na KenGold.

Ligi kuu Tanzania Bara huchezwa kwa style ya Timu kucheza mechi za Nyumbani na Ugenini, ambapo kila timu hucheza Jumla ya Mechi 30 na Timu yenye Points nyingi zaidi basi huweza kuwa Bingwa wa Msimu Huo, kwa msimu wa 2023-2024 Bingwa alikuwa Klabu ya Yanga, Je 2024-2025 bingwa wa Ligi kuu Tanzania bara atakuwa nani?

Standings provided by Sofascore

Wachezaji wanaoongoza kwa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

Kwenye Msimamo Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

P – Hii ni Jumla ya mechi ambayo timu imecheza mpaka sasa kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

W – Hii ni Jumla ya mechi ambazo timu imeshashinda mpaka sasa kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

D – Ni idadi ya mechi ambazo timu imetoka sare kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

L – Ni idadi ya mechi ambazo timu imepoteza kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

DIFF – Hii ni tofauti wa Magoli ya Kufunga na Kufungwa yani Unachukua magoli ya Kufunga unatoa  magoli ya kufungwa kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

Last 5 – Hii inaonyesha matokeo ya mechi tano za mwisho ambazo timu imecheza kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

PTS – Hii ndiyo idadi ya points / alama kwenye msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara 2024-2025

 

msimamo ligi kuu Tanzania bara 2025

UWAKILISHI Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025

Timu ya Kwanza itakuwa bingwa na itawakilisha moja kwa moja nchi katika michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika, nafasi ya Pili naye atawakilisha nchi katika michuano ya Kimataifa katika kombe la Klabu bingwa barani Afrika. Nafasi ya Tatu atawakilisha nchi katika michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika.

 

Timu zitakazoshuka Ligi Kuu Tanzania bara 2024-2025

Timu ya 15 na 16 zitashuka moja kwa moja daraja na kucheza NBC Championship zamani ikijulikana kama ligi daraja la Kwanza, wakati nafasi ya 13 na 14 zenyewe zitacheza Hatua ya Mtoano (Playoff )