Muda wa Mechi Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025

Muda wa Mechi Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025
Muda wa Mechi Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025

Muda wa Mechi Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025, Simba vs Fountain Gate itachezwa saa ngapi?

Muda wa Mechi Simba vs Fountain Gate leo 6/2/2025

Mechi kati ya Klabu ya Simba dhidi ya Fountain Gate itachezwa leo kuanzia majira ya saa kumi na Robo kwa saa za Afrika Mashariki 1615 Hours.

Mchezo wa Simba dhidi ya Fountain Gate itachezwa katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo katika mji wa Babati mji ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Manyara mkoa ambao zamani ulikuwa ndani ya Mkoa wa Arusha kabla haujatenganishwa na kuwa Mikoa Miwili.