Namba za TANESCO huduma kwa wateja ILALA

Namba za TANESCO huduma kwa wateja ILALA
Namba za TANESCO huduma kwa wateja ILALA

Namba za TANESCO huduma kwa wateja ILALA, TANESCO Huduma kwa Wateja ILALA, Tanesco huduma kwa wateja ILALA Kusini, Tanesco huduma kwa Wateja ILALA 2025

 

Namba za tanesco huduma kwa wateja ILALA

 

TANESCO

TANESCO (Tanzania Electric Supply Company Limited) ni shirika la umma la Tanzania linalohusika na uzalishaji, usafirishaji, na usambazaji wa umeme nchini Tanzania. Shirika hili lilianzishwa mwaka 1964 na ni mali ya Serikali ya Tanzania. TANESCO ina jukumu la kusambaza umeme kwa wananchi wa Tanzania Bara na ina makao makuu huko Ubungo, Dar es Salaam. Kazi yake ni kuhakikisha upatikanaji wa umeme kwa usalama na kwa ubora unaohitajika kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii

 

Namba za TANESCO Huduma kwa wateja mkoa wa ILALA 2025

Katika makala hii ya Ligikuuforum tumekuwekea namba ya Huduma kwa wateja ya mkoa wa Kitanesco wa Ilala, kwahiyo mtumiaji wa Umeme anahitaji kupata huduma kirahisi kuhusiana na mambo ya Umeme wa Tanesco atalazimika kutumia namba hizi hapo chini ili kupata huduma kwa urahisi

Namba za Tanesco ILALA

0733212575

 

SOMA PIA

Kwa Maelezo zaidi tembelea https://www.tanesco.co.tz/