Namba za TANESCO huduma kwa wateja TEMEKE

Namba za TANESCO huduma kwa wateja TEMEKE
Namba za TANESCO huduma kwa wateja TEMEKE

Namba za TANESCO huduma kwa wateja TEMEKE, TANESCO Huduma kwa Wateja TEMEKE, Tanesco huduma kwa wateja TEMEKE, Tanesco huduma kwa Wateja TEMEKE 2025

 

Namba za tanesco huduma kwa wateja TEMEKE

 

TANESCO Tanzania

TANESCO (Tanzania Electric Supply Company Limited) ni shirika la umma la Tanzania linalohusika na uzalishaji, usafirishaji, na usambazaji wa umeme nchini Tanzania. Shirika hili lilianzishwa mwaka 1964 na ni mali ya Serikali ya Tanzania. TANESCO ina jukumu la kusambaza umeme kwa wananchi wa Tanzania Bara na ina makao makuu huko Ubungo, Dar es Salaam. Kazi yake ni kuhakikisha upatikanaji wa umeme kwa usalama na kwa ubora unaohitajika kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii

 

Namba za TANESCO Huduma kwa wateja mkoa wa TEMEKE 2025

Unakumbana na Changamoto kuhusu umeme na wewe ni mkazi wa Temeke? Katika makala hii ya Ligikuuforum tumekuwekea namba ya Huduma kwa wateja ya mkoa wa Kitanesco wa TEMEKE, kwahiyo mtumiaji wa Umeme anahitaji kupata huduma kirahisi kuhusiana na mambo ya Umeme wa Tanesco atalazimika kutumia namba hizi hapo chini ili kupata huduma kwa urahisi

Namba za Tanesco TEMEKE

0694169798

 

SOMA PIA

Kwa Maelezo zaidi tembelea https://www.tanesco.co.tz/