Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo 19/2/2025

Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo 19/2/2025
Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo 19/2/2025

Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo 19/2/2025, Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo, Simba vs Namungo leo, Simba vs Namungo, Namungo vs Simba H2H

Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo 19/2/2025

Simba na Namungo ni mechi ambayo huwa haina matokeo ya Moja kwa moja mara wakutanapo hasa kutokana na matokeo ambayo yamekuwa yakishangaza watu, japo kitakwimu Simba anatakwimu nzuri zaidi za Kushinda wanapokutana lakini mara kadhaa mechi hiyo imekuwa ikiisha kwa Sare.

Matokeo Mechi zilizopita za Namungo

Haya ni matokeo ya Namungo katika mechi zilizopita kabla ya Kukutana na Klabu ya Simba 19 February 2025 katika michuano ya Ligi kuu NBC.

TareheMechiMatokeo
14 FebTanzania Prisons vs Namungo FC0-1
9 FebNamungo FC vs Dodoma Jiji FC2-2
5 FebKitayosce vs Namungo FC2-1
25 DecSingida Big Stars vs Namungo FC1-2
20 DecNamungo FC vs JKT Tanzania0-0
15 DecKenGold vs Namungo FC2-3
11 DecKagera Sugar vs Namungo FC1-1
30 NovNamungo FC vs Young Africans0-2
30 NovNamungo FC vs Young Africans0-2
23 NovMashujaa vs Namungo FC1-0
31 OctKinondoni MC vs Namungo FC1-0
28 OctNamungo FC vs Pamba Jiji1-0
25 OctSimba SC vs Namungo FC3-0
20 OctSingida Black Stars vs Namungo FC2-0
3 OctNamungo FC vs Azam FC0-1
28 SepNamungo FC vs Tanzania Prisons1-0
17 SepCoastal Union vs Namungo FC0-2
12 SepDodoma Jiji FC vs Namungo FC1-0
29 AugNamungo FC vs Singida Big Stars0-2
25 AugNamungo FC vs Kitayosce1-2

 

 

 

Matokeo mechi zilizopita za Simba

Matokeo ya Klabu ya Simba kabla ya kukutana na Klabu ya NAMUNGO 19 Februari 2025 katika uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa.

TareheMechiMatokeo
11 FebSimba SC vs Tanzania Prisons3-0
6 FebSingida Big Stars vs Simba SC1-1
2 FebKitayosce vs Simba SC0-3
19 JanSimba SC vs CS Constantine2-0
12 JanOnze Bravos vs Simba SC1-1
5 JanCS Sfaxien vs Simba SC0-1
28 DecSingida Black Stars vs Simba SC0-1
24 DecSimba SC vs JKT Tanzania0-0
21 DecKagera Sugar vs Simba SC2-5
18 DecSimba SC vs KenGold2-0
15 DecSimba SC vs CS Sfaxien2-1
8 DecCS Constantine vs Simba SC2-1
27 NovSimba SC vs Onze Bravos1-0
22 NovPamba Jiji vs Simba SC0-1
6 NovSimba SC vs Kinondoni MC4-0
1 NovMashujaa vs Simba SC0-1
25 OctSimba SC vs Namungo FC3-0
22 OctTanzania Prisons vs Simba SC0-1
19 OctSimba SC vs Young Africans0-1
4 OctSimba SC vs Coastal Union2-2
29 SepDodoma Jiji FC vs Simba SC0-1
26 SepAzam FC vs Simba SC0-2
22 SepSimba SC vs Al Ahli Tripoli3-1
15 SepAl Ahli Tripoli vs Simba SC0-0
25 AugSimba SC vs Singida Big Stars4-0
18 AugSimba SC vs Kitayosce .3-0

 

Matokeo Namungo vs Simba mara zote walipokutana

Haya ni matokeo ya H2H kati ya Namungo dhidi ya Simba mara walipokutana na katika mchezo wa Mwisho inaonekana Simba walishinda bao 3 kwa 0

TareheMechiMatokeo
25 Oct 2024Simba SC vs Namungo FC3-0
30 Apr 2024Namungo FC vs Simba SC2-2
9 Nov 2023Simba SC vs Namungo FC1-1
3 May 2023Namungo FC vs Simba SC1-1
16 Nov 2022Simba SC vs Namungo FC1-0
3 May 2022Namungo FC vs Simba SC2-2
3 Nov 2021Simba SC vs Namungo FC1-0
18 Jul 2021Simba SC vs Namungo FC4-0

 

Soma Pia