Ratiba ligi kuu NBC Leo 14/2/2025

Ratiba ligi kuu NBC Leo 14/2/2025
Ratiba ligi kuu NBC Leo 14/2/2025

Ratiba ligi kuu NBC Leo 14/2/2025, Ratiba ligi kuu Tanzania NBC Leo 14/2/2025, Ratiba ligi kuu Tanzania bara NBC Leo 14 February 2025

Ratiba ligi kuu NBC Leo 14/2/2025

Ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League Inaendelea leo kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja mbalimbali huku kukiwa na mechi za kuanzia mapema kabisa saa nane mchana, saa kumi na mechi ya saa moja usiku, Kwasasa Ligi imekuwa ngumu na ya kuvutia kutokana na kuwa ni hatua ya raundi ya pili kwahiyo timu nyingi ziko kwenye mbio za Ubingwa, zipo pia timu ambazo ziko kwenye mapambano ya kuhakikisha hazishuki daraja.

Tabora United vs Kengold

Tabora United watakuwa nyumbani katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo katika mkoa wa Tabora , Mpaka sasa kwenye msiamamo Tabora United wapo katika nafasi ya 5 wakiwa na Points  zao 31 na Kengold wao wakiwa katika nafasi ya 16 kati ya timu 16 wakiwa na Points 9. Mechi hii itaanza saa nane kamili

Tanzania Prisons vs Namungo

Klabu ya Tanzania Prisons ambayo imetoka kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Simba itakuwa nyumbani katika uwanja wa ccm Sokoine kuwakaribisha Namungo, Tanzania Prisons wapo katika nafasi ya 14 wakiwa na Points 17, Nao Namungo ambao wapo katika nafasi ya 13 wanajumla ya Points 18, kwahiyo battle itakuwa kubwa sana kwa timu hizi kwani zote zipo katika nafasi ambazo siyo salama sana. Mechi hii ya Tanzania Prisons vs Namungo itaanza saa kumi na Robo kwa saa za Afrika Mashariki.

KMC vs Yanga

Klabu ya KMC itakuwa Nyumbani katika uwanja wa KMC kuwakaribisha klabu ya Yanga katika mchezo ambao unatarajiwa kuwa mgumu na wa kuvutia , KMC wao wapo katika nafasi ya 7 wakiwa na Points zao 22 na wakiwa wametoka kushinda katika mchezo uliopita, Klabu ya Yanga wao wapo katika nafasi ya Pili wakiwa na Points 46. Mechi hii itaanza saa kumi na Robo 1615 Hours .

 

Kagera Sugar vs Fountain Gate

Katika uwanja wa Kaitaba uliopo kwenye Manispaa ya Bukoba klabu ya Kagera Sugar itakuwa dimbani kucheza mchezo wake dhidi ya Fountain Gate ambao wapo katika nafasi ya 8 wakiwa na Points zao 21, huko Kagera Sugar wakiwa nafasi ya 15 kati ya timu 16 wakiwa na Points zao 12. Mechi itaanza saa moja kamili usiku.

Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025

Soma Pia

 

 

Ratiba ligi kuu NBC Leo 14/2/2025, Ratiba ligi kuu Tanzania NBC Leo 14/2/2025, Ratiba ligi kuu Tanzania bara NBC Leo 14 February 2025