Ratiba Ligi kuu NBC Leo 19/2/2025, Ratiba Ligi kuu NBC Leo 19 February 2025, Ratiba Ligi kuu NBC Leo 19 Februari 2025
Ratiba Ligi kuu NBC Leo 19/2/2025
Ligi kuu ya Tanzania NBC Inaendelea leo kwa mechi 3 kuchezwa mara baada ya Jana kushuhudia mechi nyingine tatu ambazo zilichezwa, Mechi za leo zitachezwa katika miji ya Arusha, Mkoa wa Lindi na katika mkoa wa Kigoma
Mashujaa vs Pamba Jiji
Katika mkoa wa Kigoma kutakuwa na mchezo kati ya Mashujaa dhidi ya Pamba Jiji, Mashujaa na Pamba katika mechi ya Raundi ya Kwanza mechi yao iliisha kwa Sare ya bao 2 kwa 2 mechi iliyochezwa katika uwanja wa CCM Kirumba, Je katika mchezo wa Lake Tanganyika Leo Itakuaje? Tusubirie
Coastal Union vs Azam Fc
Katika jiji la Arusha kutakuwa na mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Azam, Mechi ya Coastal Union vs Azam itachezwa saa kumi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta. Katika mchezo wa Raundi ya Kwanza klabu ya Azam Fc walifanikiwa kushinda kwa bao 1 kwa 0.
Namungo vs Simba
Katika mkoa Lindi lakini ukisogea katika wilaya ya Ruangwa kutakuwa na mchezo kati ya Namungo vs Simba mechi itakayochezwa kuanzia saa kumi na mbili na nusu 1830 Hours katika uwanja wa Majaliwa. Katika mchezo wa Kwanza klabu ya Simba ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 3 kwa 0
Soma Pia
- Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
- Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
- Matokeo JKT Tanzania vs Yanga leo 10 February 2025
- Kikosi cha Yanga vs JKT Tanzania leo 10/2/2025
- Ratiba Ya Yanga Raundi ya Pili Ligi kuu 2024-2025
- Matokeo Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
- Kikosi cha Yanga vs KenGold leo 5 February 2025
- Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025
- Kikosi Cha Tabora United vs Fountain Gate Leo 17/2/2025
- Matokeo Fountain Gate vs Tabora United leo 17/2/2025
- Kikosi cha Singida Black Stars vs Yanga 17/2/2025
- Kikosi cha Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo
- Matokeo Ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars
- Matokeo ya Ligi kuu NBC Leo 14 Februari 2025
- Matokeo KMC vs Yanga leo 14 February 2025
- Kikosi cha Yanga dhidi ya KMC Leo 14/2/2025
- MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 2024-2025
Leave a Reply