Ratiba Ligi kuu NBC Leo 22/2/2025, Ratiba Ligi kuu NBC Leo 22 February 2025, Ratiba Ligi kuu NBC Leo 22 Februari 2025
Ratiba Ligi kuu NBC Leo 22/2/2025
Ligi kuu ya Tanzania inaendelea leo 22 February 2025 kwa mechi mbili kuchezwa katika mikoa ya Mbeya na Katika mkoa wa Dodoma.
Kengold vs KMC
Katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya kuna mechi kati ya Kengold ambao watakuwa nyumbani kuwakaraibisha klabu ya KMC kutoka wilaya ya Kinondoni ” KINO BOYS “, Mechi ya Kengold vs KMC itachezwa kuanzia saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki.
Kengold licha ya Kupata points 7 katika mechi zake tatu za Mwisho bado wapo mkiani kabisa kwenye msimamo wa Ligi kuu wakiwa na jumla ya Points 13, wakati kwa upande wa KMC wao wapo katika nafasi ya 11 wakiwa na points 22 mara baada ya kucheza mechi 20.
Dodoma Jiji vs Fountain Gate
Kutoka eneo ambalo inaaminika kuwa ni katikati ya nchi Katika jiji ambalo linasifika kwa kutoa dhahabu bora Dodoma kutakuwa na mchezo kati ya Dodoma Jiji vs Fountain Gate. Mechi ya Dodoma Jiji vs Fountain Gate itaanza majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Dodoma Jiji ambao katika mchezo uliopita walifanikiwa kushinda kwa bao la dakika za Nyongeza ushindi wa bao 3 kwa 2 walipocheza na Tanzania Prisons wao wapo katika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi kuu NBC wakiwa na Points 23 baada ya michezo 19.
Kwa Upande wa Fountain Gate timu ambayo imekuwa ikitumia uwanja wa Tanzanite KWARAA kama uwanja wake wa Nyumbani wao wapo katika nafasi ya 10 wakiwa na Points zao 22 .
- Matokeo ligi kuu NBC Leo 21/2/2025
- Ratiba Ligi kuu NBC Leo 21/2/2025
- Wafahamu Al Masry Wapinzani wa Simba Kimataifa
- Matokeo Twiga Stars vs Equatorial Guinea 20/2/2025
- Matokeo ya Droo Kombe la Shirikisho Afrika 2025
- Droo ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025
- Kikosi cha Twiga Stars vs Equatorial Guinea 20/2/2025
- Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025
- Matokeo ya Coastal Union vs Azam 19/2/2025
- Namungo vs Simba Matokeo Kikosi leo 19/2/2025
Leave a Reply