Ratiba Ligi kuu NBC Leo 6 February 2025

Ratiba Ligi kuu NBC Leo 6 February 2025
Ratiba Ligi kuu NBC Leo 6 February 2025

Ratiba Ligi kuu NBC Leo 6 February 2025, Ratiba Ligi kuu NBC Leo 6/2/2025, Ratiba ya Ligi kuu NBC Leo 6 February 2025, Ratiba ligikuu leo 6 Februari 2025

 

Ratiba Ligi kuu NBC Leo 6 February 2025

Ratiba ligi kuu ya NBC Tanzania itaendelea leo kwa jumla ya mechi 4 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nyingine zikianza mapema kabisa saa nane na nyingine zikichezwa saa kumi na saa moja usiku

 

Tanzania Prisons vs Mashujaa

Ligi kuu NBC Leo 6 February itaendelea leo na moja ya Mechi za mapema itakuwa kati ya ya Tanzania Prisons dhidi ya Mashujaa ambayo itaanza saa nane kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki , mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Sokoine uliopo jijini Mbeya

Dodoma Jiji vs Pamba Jiji

Hii ni mechi ya Timu za Majiji ya Dodoma na Mwanza kwani timu hizi zote ziko chini ya Halmashauri za majiji, Mechi ya Dodoma Jiji dhidi ya Pamba Jiji itachezwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na itaanza saa nane kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki.

Fountain Gate vs Simba

Mechi nyingine ya Ligikuu NBC Premier League itaendelea leo 6 February 2025 itakuwa kati ya Fountain Gate dhidi ya Simba leo, mechi ikichezwa Tanzanite Kwaraa uwanja uliopo Manyara , mechi hii itachezwa saa kumi na Robo kwa saa za Afrika Mashariki

 

Azam vs KMC

Mechi ya Mwisho kwa leo 6 February 2025 itakuwa kati ya Timu kutokea jijini Dar es Salaam moja ikiwakilisha Kinondoni na Nyingine ikiwakilisha wilaya ya Temeke, Azam Fc wao wanawakilisha wilaya ya Temeke, wakati KMC wakilisha Kinondoni mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Azam kuanzia saa moja kamili Usiku.