Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9 Februari 2025

Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9 Februari 2025
Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9 Februari 2025

Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9 Februari 2025,Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9/2/2025 , Ratiba Ligi kuu leo 9 February 2025, Ratiba Ligi kuu NBC leo 9 February 2025

Ratiba Ligi kuu Tanzania leo 9 Februari 2025

Ligikuu ya Tanzania ni moja kati ya ligi zinazofuatiliwa kwa ukaribu sana na watu wengi na leo 9 Februari itaendelea kwa michezo miwili kuchezwa katika mikoa miwili tofuati.

 

Pamba Jiji vs Azam

Katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kutakuwa na mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Azam, Pamba jiji walifanya usajili mkubwa wakati wa Dirisha DOGO na tayari ishaanza kuwalipa kwani katika mchezo uliopita walipata ushindi ugenini dhidi ya Dodoma Jiji, Leo saa 10 kamili wataikaribisha Azam Fc.

Namungo vs Dodoma Jiji

Klabu ya Namungo leo 9 February itakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa uliopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi kucheza dhidi ya Dodoma Jiji waliosafiri kutoka Jiji la Dodoma , Mechi hiyo itaanza majira ya saa moja kamili usiku, Namungo wametoka kupoteza mechi iliyopita, wakati huo Dodoma Jiji nao pia wametoka kupoteza mechi iliyopita kwenye ligi kuu ya NBC 2024/2025

Soma Pia