Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025, Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025, Ratiba mechi za Yanga, Ratiba mechi za Yanga Mzunguko wa Pili 2024-2025, Ratiba mechi za Yanga zilizobakia, Mechi za Yanga Zinazofuata, Ratiba mechi za Yanga March 2025, Ratiba mechi za Yanga April 2025, Ratiba mechi za Yanga May 2025

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025

Ligi kuu ya Tanzania ni maarufu kama NBC Premier League na Hii ikiwa inatokana na udhamini ambao ligi hii inaupata kutoka katika benki ya NBC, Kutokana na udhamini wa benki hiyo ndiyo sababu hata jina la ligi linajulikana kama NBC Premier League au ligi kuu ya NBC.

 

Ushindani kwenye ligi kuu ya Tanzania ni mkubwa na klabu ya Yanga imekuwa ikifanya vyema wakiwa ndiyo mabingwa mara nyingi zaidi wa ligi hiyo wakiwa wamebeba k0mbe hilo mara nyingi zaidi kwa kubeba mara 30  na kama msimu huu itachukua tena ubingwa utakuwa ni ubingwa wa mara ya 31 na mara 4 mfululizo.

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025

Ifuatayo ni Ratiba ya mechi za Yanga kwa msimu wa 2024-2025

Agosti 2024

  • 17/08/24 (CCL) Vital’O 0 – 4 Young Africans
  • 24/08/24 (CCL) Young Africans 6 – 0 Vital’O
  • 29/08/24 (LKB) Kagera Sugar 0 – 2 Young Africans

Septemba 2024

  • 14/09/24  Ethiopia Nigd Bank 0 – 1 Young Africans
  • 21/09/24 Young Africans 6 – 0 Ethiopia Nigd Bank
  • 25/09/24  KenGold 0 – 1 Young Africans
  • 29/09/24 Young Africans 1 – 0 KMC

Oktoba 2024

  • 03/10/24  Young Africans vs Pamba Jiji (18:30)
  • 19/10/24  Simba vs Young Africans (17:00)
  • 22/10/24  Young Africans vs JKT Tanzania (19:00)
  • 27/10/24 Young Africans vs Tabora United (PSTP)

Novemba 2024

  • 03/11/24  Coastal Union vs Young Africans (PSTP)
  • 10/11/24) Young Africans vs Azam (PSTP)
  • 21/11/24  Young Africans vs Fountain Gate (19:00)
  • 30/11/24  Namungo vs Young Africans (19:00)

Desemba 2024

  • 12/12/24  Young Africans vs Tanzania Prisons (PSTP)
  • 16/12/24 Dodoma Jiji vs Young Africans (PSTP)
  • 22/12/24  Young Africans vs Kagera Sugar (18:30)
  • 27/12/24  Young Africans vs KenGold (19:00)

February 2025

  • 1 February 2025 , Yanga vs Kagera Sugar 1600 Hours, KMC Complex
  • 5 February 2025, Yanga vs Kengold Fc 1600 Hours – KMC Complex
  • 10 February 2025 , JKT Tanzania vs Yanga 1600 Hours – Meja Isamuhyo
  • 14 February 2025 , KMC vs Yanga  1600 Hours – KMC Complex
  • 17 February 2025 , Yanga vs Singida Black Stars  1600 Hours -KMC Complex
  • 23 February 2025 , Mashujaa vs Yanga  1600 Hours – Lake Tanganyika Stadium
  • 28 February 2025 , Pamba Jiji vs Yanga  1600 Hours – CCM Kirumba Stadium
Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025 March 2025

  • 8 March 2025, Yanga vs Simba 1915  Hours -Benjamin Mkapa National Stadium10 – 12 March 2025 CRDB Federation Cup

    17 – 26 March 2025 FIFA International Window

 

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025 April 2025

  • 1 April 2025,Tabora United vs Yanga 1600 Hours – Ali Hassan Mwinyi
  • 7 April 2025, Yanga vs Coastal Union 1600 Hours -KMC Complex
  • 10 April 2025, Azam vs Yanga 1700 Hours – Azam Complex11 – 13 CRDB Bank Federation Cup Quarter Finals

    18- 20 CAF Semi Finals

  • 20 April 2025, Fountain Gate vs Yanga 1600 Hours – Tanzanite Kwaraa Stadium

 

Ratiba Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025 May 2025

  • 13 May 2025 , Yanga vs Namungo 1600 Hours – KMC Complex
  • 21 May 2025 ,Tanzania Prisons vs Yanga 1600 Hours  – Sokoine Stadium
  • 25 May 2025 ,Yanga vs Dodoma Jiji 1600 Hours  –  TBA

NB : Baadhi ya Mechi Zimeahirishwa na Tutaendelea kuwa tunakupa Updates kulingana na mabadiliko

 

 

Yanga kwenye mashindano ya Kimataifa

  • CAF Champions League: 15 appearances
1997 – Preliminary Round
1998 – Group stage (Top 8)
2001 – Second Round
2006 – Preliminary Round
2007 – Second Round
2009 – First Round
2010 – Preliminary Round
2012 – Preliminary Round
2014 – First Round
2016 – Second Round
2017 – First Round
2022 – First Round
2023 – Quarter finals
  • African Cup of Champions Clubs: 11 appearances
1969 – Quarter-finals
1970 – Quarter-finals
1971 – withdrew in Second Round
1972 – First Round
1973 – First Round
1975 – Second Round
1982 – Second Round
1984 – First Round
1988 – First Round
1992 – First Round
1996 – Preliminary Round
  • CAF Confederation Cup: 6 appearances
2007 – Intermediate Round
2008 – First Round
2011 – Preliminary Round
2016 – Group stage (Top 8)
2018 – Group stage (Top 16)
2022–23 – Runners-up
  • CAF Cup: 2 appearances
1994 – First Round
1999 – First Round
  • CAF Cup Winners’ Cup: 2 appearances
1995 – Quarter-finals
2000 – First Round

Soma Pia