Ratiba ya Ligi kuu Tanzania leo 7/2/2025

Ratiba ya Ligi kuu Tanzania leo 7/2/2025
Ratiba ya Ligi kuu Tanzania leo 7/2/2025

Ratiba ya Ligi kuu Tanzania leo 7/2/2025, Ratiba ya Ligi kuu NBC Tanzania leo 7/2/2025, Ratiba Ligi kuu leo 7/2/2025

Ratiba ya Ligi kuu Tanzania leo 7/2/2025

Ligi kuu soka ya Tanzania bara inaendelea leo 7 February 2025 kwa jumla ya MECHI MBILI kuchezwa katika viwanja viwili mechi zote zikichezwa kuanzia saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki

 

Coastal Union vs JKT Tanzania

Coastal Union leo 7 February 2025 itakuwa nyumbani katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mchezo huo Coastal Union watawakaribisha JKT Tanzania katika mechi ambayo itaanza saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki , 1600 Hours.

Singida Black Stars vs Kagera Sugar

Mechi nyingine ligi kuu soka ya Tanzania bara leo 7/2/2025 Itahusisha timu ya Singida Black Stars itakayokuwa nyumbani uwanja wa CCM LITI kucheza dhidi ya Kagera Sugar , mechi hiyo itaanza saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, 1600 Hours

Soma Pia