Kikosi cha Singida Black Stars vs Yanga 17/2/2025 Klabu ya Singida Black Stars leo itashuka katika uwanja wa KMC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League kucheza na Yanga ambayo inatumia uwanja wa KMC kama uwanja wake ...