Timu zinazoongoza kupata Penati Ligi Kuu NBC

Timu zinazoongoza kupata Penati Ligi Kuu NBC
Timu zinazoongoza kupata Penati Ligi Kuu NBC

Timu zinazoongoza kupata Penati Ligi Kuu NBC, Timu zinazoongoza kupata Penati Ligi Kuu NBC 2024-2025

 

Timu zinazoongoza kupata Penati Ligi Kuu NBC

Mara baada ya kila timu kucheza jumla ya mechi 16 kwenye ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League 2024-2025 hizi ndizo timu zinazoongoza kwa kupata Penati, Penati ilizofunga na Penati ilizokosa

Kwenye list hiyo klabu ya Simba inaongoza Kwa Kupata Penati nyingi zaidi ikiwa tayari imeshapata jumla ya Penati 7 huku wakiwa na Rekodi nzuri zaidi kwani wamepata penati zote 7. Klabu za Tabora United, Coastal Union na Yanga Sc timu hizo pia zimepata jumla ya Penati 5, Tabora United na Coastal Union wamefunga Penati 4, Yanga wao wamefunga penati 3 katika hizo tano walizopata

 

Kwa Upande wa Timu nyingine ambazo mpaka Raundi ya 16 hazijapata kabisa penati hata moja ni KMC, Pamba na klabu ya kagera Sugar wao hakuna penati hata moja ambayo wamefanikiwa kupata

 

 

Soma Pia