Viingilio mechi ya Yanga vs Copco 25 January 2025

Viingilio mechi ya Yanga vs Copco 25 January 2025
Viingilio mechi ya Yanga vs Copco 25 January 2025

Viingilio mechi ya Yanga vs Copco 25 January 2025, Viingilio vya mechi Yanga vs Copco 25 January 2025, Viingilio : Yanga vs Copco 25 January 2025, Viingilio Yanga dhidi ya Copcp leo 25 January 2025

Viingilio mechi ya Yanga vs Copco 25 January 2025

Klabu ya Yanga mara baada ya kuondolewa katika michuano ya Kimataifa Klabu bingwa barani Afrika , CAF Champions League inarudi uwanjani kucheza dhidi ya COPCO kutoka jijini Mwanza katika mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa KMC uliopo katika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam na Ukimilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Kinondoni Municipal Council.

Kueelekea mchezo huo vifuatavyo ni Viingilio vya mchezo huo wa CRDB Bank Federation Cup zamani ikijulikana kwa jina la Kombe la Shirikisho michuano ambayo imekuwa muhimu na ikitoa timu muwakilishi wa michuano ya Kimataifa kwenye kombe la Shirikisho barani Afrika

 

Viingilio mechi ya Yanga vs Copco leo 25 January 2025

Viingilio vya mechi kati ya Yanga vs Copco 25 January 2025 vimepangwa kwa namna mbili yani MZUNGUKO na VIP A, kwa mzunguko Kiingilio kitakuwa ELFU kumi 10,000/= na Upande wa VIP A kiingilio kitakuwa elfu ishirini tu ya Kitanzania 20,000/=

Vituo vya Tiketi Yanga vs COPCO 25 January 2025

  • Young Africans Makao Makuu – Jangwani
  • Vunja Bei – Dar Es Salaam Shops
  • T Money Limited – Kigamboni
  • Gitano Samweli – Mbagala Zakhiem
  • Lamapard Electronics
  • Gwambina Lounge
  • Karoshy Pamba Dar Live Mbagala
  • Khalfan Mohammed – Ilala
  • Antonio Service – Sinza Kivukoni
  • Tumpe kamwela – Kigamboni
  • Sovereign – Kinondoni Makaburini
  • View Blue Skyline – Mikocheni
  • Mkaluka Traders – Machinga Complex
  • New Tech General traders – Ubungo
  • Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
  • Juma Burrah – Kivukoni
  • Juma Burrah – Msimbazi
  • Alphan Hinga – Ubungo
  • Mtemba Services Co – Temeke
  • Jackson Kimabo – Ubungo
  • Shirima Shop Leaders

Kikosi cha Yanga vs Copco leo 25 January 2025 CRDB Cup

Soma Pia