Vituo vya Kununua Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025

Vituo vya Kununua Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025
Vituo vya Kununua Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025

Vituo vya Kununua Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025, Vituo vya Tiketi Yanga vs Mc ALger 18.1.2025

Vituo vya Kununua Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025

Klabu ya Yanga 18 January 2025 itashuka uwanjani kucheza dhidi ya MC Alger kutoka nchini Algeria katika mechi ambayo itachezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Temeke Jijini Dar Es Salaam

Kuelekea mchezo kati ya Yanga dhidi ya MC Alger Jumamosi 18 January 2025 Klabu ya Yanga imetangaza Vituo vya Kukata Tiketi kwa watu watakaohudhuria mechi ya Yanga dhidi ya Mc Alger .

Vituo vya Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025

Young Africans Makao Makuu – Jangwani

Vunja Bei – Dar Es Salaam Shops

T Money Limited – Kigamboni

Gitano Samweli – Mbagala Zakhiem

Lamapard Electronics

Gwambina Lounge

Karoshy Pamba – Dar Live Mbagala

Khalfan Mohammed – Ilala

Antonio Service – Sinza Kivukoni

Tumpe kamwela – Kigamboni

Sovereign – Kinondoni Makaburini

View Blue Skyline – Mikocheni

Mkaluka Traders – Machinga Complex

New Tech General traders – Ubungo

Sabana Business – Mbagala Maji Matitu

Juma Burrah – Kivukoni

Juma Burrah – Msimbazi

Alphan Hinga – Ubungo

Mtemba Services Co – Temeke

Jackson Kimabo – Ubungo

Shirima Shop – Leaders

Vituo vya Kununua Tiketi Yanga vs Mc Alger 18 January 2025

Soma Pia