Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025
Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025, Wafungaji bora Ligi Kuu NBC Tanzania 2024-2025, Makala ya List ya Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025, Ifuatayo ni Wafungaji Bora NBC 2024/2025 – Vinara wa Magoli ligi kuu Tanzania

 

Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania 2024-2025

Ligi kuu ya Tanzania ni ligi inayohusisha timu 16 ambazo huruhusiwa kusajili mpaka wachezaji 30 kwa kila timu na katika kila timu hujitahidi kusajili timu yenye ushindani ili kuweza kupambana vyema na kuhakikisha inafikia maelngo yake iliyojiwekea.

Ifutayo ni List ya Wachezaji wanaoongoza kwa Magoli katika ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League kwa msimu wa 2024-2025, Wafungaji bora Ligi kuu Tanzania 2024-2025

 

List Wafungaji Bora Ligi kuu Tanzania

 

  1. Clement Mzize – Yanga – Magoli 10
  2. Jean Ahoua – Simba – Magoli 10
  3. Prince Dube – Yanga – Magoli 9
  4. Elvis Rupia – Singida Black Stars – Magoli 8
  5. Lionel Ateba – Simba – Magoli 8
  6. Peter Lwasa – Kagera Sugar – Magoli 7
  7. Pacome Zouzoua – Yanga – Magoli 7
  8. Heritier Makambo – Tabora United – Magoli 6
  9. Offen Chikola – Tabora United – Magoli 6
  10. Seleman Mwalimu – Fountain Gate – Magoli 6

 

Wanaoongoza kwa Magoli Ligi Kuu NBC 2024-2025

Jedwali hili linaorodhesha wachezaji wanaoongoza kwa mabao katika Ligi Kuu ya NBC hadi sasa. Elvis Rupia kutoka Singida Black Stars anongoza akiwa na mabao 8, akifuatiwa na Clement Mzize, Jean Ahoua, na Lionel Ateba wote wakiwa na mabao 7 kila mmoja. Wachezaji wengine muhimu ni pamoja na Seleman Mwalimu, Pacome Zouzoua, Prince Dube, Edgar William, na Peter Lwasa ambao wana mabao 5.

 

Wafungaji Bora Mpaka sasa

NoMchezajiTimuMagoli
1Clement MzizeYanga10
2Jean AhouaSimba10
3Prince DubeYanga9
4Elvis RupiaSingida Black Stars8
5Lionel AtebaSimba8
6Peter LwasaKagera Sugar7
7Pacome ZouzouaYanga7
8Heritier MakamboTabora United6
9Offen ChikolaTabora United6
10Seleman MwalimuFountain Gate6

Soma Zaidi