Yanga waichakaza Kengold kwa bao 6

Yanga waichakaza Kengold kwa bao 6
Yanga waichakaza Kengold kwa bao 6

Yanga waichakaza Kengold kwa bao 6, Matokeo Yanga vs Kengold 5/2/2025, Matokeo Yanga vs Kengold 5 February 2025

Yanga waichakaza Kengold kwa bao 6

Klabu ya Yanga ikicheza mbele ya mashabiki wake katika uwanja wa KMC ilifanikiwa kupata ushindi mbele ya Kengold kwa kupata ushindi wa bao 6 kwa 1 na kukwea tena mpaka kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League,

Magoli ya Yanga katika mchezo dhidi ya Kengold yalifungwa na Prince Dube magoli mawili, Clement Mzize Magoli mawili, Pacome na Abuya wakifunga bao moja kila mmoja .

Goli la maajabu la Kengold dhidi ya Yanga lilifungwa na Mchezaji Seleman Bwenzi aliyefunga tokea katikati ya uwanja kwa kupiga moja kwa moja wakati akianzisha mpira mara baada ya Yanga kuwa wamefunga goli lao la Sita, Seleman aliweza kumchungulia vyema Kipa Djigui Diarra na kisha kufunga bao hilo pekee kwa Kengold

 

soma pia